Miss Tanzania 2006 and An Entrepreneur for this time, Wema Sepetu has launched her own Mobile App that will help her fans and all who want to know about her and all works concerning her, includin videos, photos, etc...She has launched it today and said to be first woman in Africa to own MobileApp, We wish all the best Wema Sepetu.
Read More about her MobileApp:
Kwanza Kabisa nichukue nafasi hii Kusema Asante Mungu wangu kwa kunifanikisha kukamilisha kile ambacho nimekuwa nikikitamani na ambacho nimefanyia kazi kwa takribani ya miezi Mitano mpaka kufika siku hii ya leo... Lakini pia niseme Asante kwa Familia yangu yote kwa ujumla, Bila kusahau mashabiki wangu wapenzi kwa kunipa moyo wa kutokukata tamaa japokuwa kuna mengi ambayo kwa binadamu wa kawaida huwezi vumilia Ila kiukweli mashabiki wangu mmekuwa mnanipa nguvu na Courage everyday... Najisikia Fahari sana Leo hii kuwa Mwanamke wa Kwanza Barani Africa Kuwa na MobileApp inayonitangaza mimi Mwenyewe kama Content.... Kwa kutumia hii App unaweza kupata chance ya kupata zile habari zote za uhakika kuhusu Wema Sepetu... Kuna vingi ambavyo pia unaweza kupata kama Video Clips, Audio na Pictures kwa wale watumiaji wa Smart Phone... Lakini pia kwa wale wasio na Smart phone basi unapata Habari na Matukio mbali mbali kuhusu mimi ambayo sio Longo longo... Trust me with this app kuna mengi saaana mtakayoyapata... Ni Rahisi sana Una tuma Neno "Wema" kwenda namba 15404 and u are done.... Asanteni sana.... Nawapenda Mno... Huduma hii ipo Applicable kwa Mitandao Yote Tanzania.... What are u waiting for...?