Mfungwa alietoka kwa msamaha Rais aua watu wawili, naye auawa tenone December 15, 2019 Watu wawili wamefariki na wengine watano wamejeruhiwa baada ya mtu mmoja ambaye ametoka gerezani kwa msamaha wa Rais kuingia Stendi kuu ya mabasi Bukoba na kuanza kuwashambulia watu kwa kuwachoma visu na kusababisha vifo Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+